Freemasons in Tanzania

Tanzania ina wanachama hai zaidi ya 600 wa kundi la watu wenye imani ya siri ya Freemasons wakiwa wanatokana na watu wa kada mbalimbali wakiwemo maarufu, huku ikielezwa kwamba miongoni mwao hakuna viongozi wakuu wa serikali.

Hayo yalibainishwa na Kiongozi wa kundi la Freemasons katika eneo la Afrika Mashariki, Jayantilal Keshavji Chande maarufu kama Sir Andy Chande alipozungumza na gazeti hili (HabariLeo), wiki hii Dar es Salaam.

Kiongozi huyo Mtanzania mkazi wa Dar es Salaam mwenye asili ya Kiasia, alisema licha ya Tanzania kuwa na wanachama hao, kwa sasa idadi ya wanachama duniani inapungua tofauti na inavyoonekana sasa kuwa wanaongezeka kutokana na kuibuka maneno mengi kuhusu kundi hilo.

Alisisitiza kuwa si rahisi kumjua mwanachama wa kundi hilo, bali wenyewe ndio wanaofahamiana, akisema ni siri na kwamba wenyewe wanakutana katika vikao mbalimbali mara moja kwa mwezi au zaidi.

Alisema nchini kuna wanachama wakiwemo wafanyabiashara, watumishi serikalini, walimu pamoja na wanataaluma mbalimbali wanaoheshimika sana na kusisitiza kuwa kuna maneno mengi yanayosemwa kuhusu kundi hilo, ambayo siyo ya kweli. Alisema idadi ya wanachama wake duniani inazidi kupungua kutoka milioni nane hadi sasa wako milioni sita, tofauti na wengi wanaodhani kuwa idadi hiyo inaongezeka.

Chande alizungumza na mwandishi wa habari hizi katika Shule ya Sekondari ya Shaaban Robert ambako yeye ni Mwenyekiti wa Bodi ya shule alipozungumzia maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwake, alisema duniani kuna watu wazito wengi ambao ni wanachama wa kundi hilo kama majaji wakubwa na hata Binamu wa Malkia Elizabeth wa Uingereza ni kiongozi mkubwa wa kundi hilo.

Akizungumzia masharti ya kujiunga na kundi hilo, Chande alisema ni lazima mwanachama huyo awe anaamini katika Mungu bila kubagua iwapo ni Mkristo au Muislamu.

Alisema pia ni lazima anayetaka kujiunga awe na umri unaozidi miaka 21 na walio chini ya umri huo hawaruhusiwi kujiunga na lazima familia ya anayetaka kujiunga na wanandugu wafahamu kuwa umejiunga na kundi hilo.

“Unajua katika imani hii kuna michango mbalimbali ambayo unatakiwa kutoa ambayo ni zaidi ya dola milioni sita (karibu Sh bilioni 10), hivyo ni lazima ndugu wafahamu ili kuepuka matatizo utakapotakiwa kutoa,” alisisitiza.

Alisema si kweli kuwa wenye fedha wengi ni wanachama wa kundi hilo huku akikanusha wanachama wanajiunga kwa ajili ya kupata fedha, bali ni dini kama imani nyingine. Alisisitiza kuwa hakuna ukweli kwamba wanaopata mafanikio katika maisha wakiwa ndani ya imani ya Freemasons kuwa wanatoa kafara watu wao wa karibu kwa lengo la kupata utajiri.

Chande pia alisema hairuhusiwi kutumia jina la kundi hilo kwa nia ya kujipatia nafasi sehemu mbalimbali au kuongeza nafasi katika chuo au shule.

BAADA YA KUJIUNGA: Pia unatakiwa kujifunza vitu vingi na kuvihifadhi kichwani kama vile maneno ya kusema wakati unafanya ibada za freemasons kwa sababu tukiwa pamoja tunavyozungumzia sifa za kuwa binadamu kamili unaweza ukafananisha na ibada ya kanisani.

15 Responses to "Freemasons in Tanzania"

  1. Replies
    1. To join Illuminati is easy...Join the Illuminate cult online today where ever you are and get instant sum of 10,000,000,00 USD[dollars] with a free home any where you choose to live in the world and many other benefit as follows.we make your business grow faster and empower you...Joining the Illuminati brings you into the limelight of the world in which you live in today your financial difficulties are brought to an end your inseams lengthen we support you both financially and materially to ensure you live a comfortable life in comfortable slacks You can join from wherever you are,any part of the world[country] you are..from the UNITED STATE down to the most remotes part of the earth we bring you all you want, it dose not matter being Literate OR Illiterate Rich nor Poor anybody is advice to join If you are interested contact us now for all you seeks in life will comes to Reality. email us now:[illuminatipower666brotherhood@gmail.com]... /...or call +2348155285233 / whats-app
      say bye bye to poverty by joining Illuminati i never believe not until i finally join but now i am rich..this man is real he made me what i am today and i am very proud of me begin a Illuminati member... if they, can make me rich make me become something in life why don't you join also for you to also be rich the money always flows through the members like an ocean that never runs dry it dose not matters if you have been scam before contact him for help to join :::: NOTE; that in this Great Brotherhood Of Illuminati No Bloodshed And No Humans Sacrifices is involved [We Don't Kill For Anything] OK... Do not miss this opportunity THANKS.

      Delete
  2. Weken namba kwakua wanao htaji kujiunga n wengi

    ReplyDelete
    Replies

  3. Freemasons hall Mombasa Kenya
    +254728104557
    Freemasonslodgemombasa@gmail.com

    ReplyDelete
  4. MFANYANZO WAKO MKUU WA KUPATA KATIKA KIKUNDI CHA MAJILI YA MALI NA MAFUZI,

    Je, wewe ni mtu wa biashara au mwanamke, kisiasa, mwanamuziki, mwanafunzi, unataka kuwa tajiri, maarufu, mwenye nguvu katika maisha, kujiunga na Illuminati
    ibada ya ndugu leo na kupata pesa tajiri ya papo hapo. Dola milioni 1 kwa wiki, na nyumba ya bure. popote unapochagua kuishi hapa duniani na pia kupata dola za Kimarekani 800,000 kila mwezi kama mshahara ...

    MATUMIZI YA KUTIWA KWA WATU WATU WATU WATU KUJUMA ILLUMINATI.
    1. Mshahara wa Fedha wa USD $ 1000,000 USD
    2. Ndoto mpya ya Sleek CAR ilifikia dola $ 200,000 USD
    3.A Dream Dream kununuliwa katika nchi ya uchaguzi wako mwenyewe

    Lazima uwe na umri wa miaka 18 na zaidi kabla ya kuwasiliana nasi kupitia
    Barua pepe: illuminate666temple@outlook.com
    Whatsapp: +2348138555220

    ReplyDelete
  5. To join Illuminati is easy...Join the Illuminate cult online today where ever you are and get instant sum of 10,000,000,00 USD[dollars] with a free home any where you choose to live in the world and many other benefit as follows.we make your business grow faster and empower you...Joining the Illuminati brings you into the limelight of the world in which you live in today your financial difficulties are brought to an end your inseams lengthen we support you both financially and materially to ensure you live a comfortable life in comfortable slacks You can join from wherever you are,any part of the world[country] you are..from the UNITED STATE down to the most remotes part of the earth we bring you all you want, it dose not matter being Literate OR Illiterate Rich nor Poor anybody is advice to join If you are interested contact us now for all you seeks in life will comes to Reality. email us now:[illuminatipower666brotherhood@gmail.com]... /...or call +2348155285233 / whats-app
    say bye bye to poverty by joining Illuminati i never believe not until i finally join but now i am rich..this man is real he made me what i am today and i am very proud of me begin a Illuminati member... if they, can make me rich make me become something in life why don't you join also for you to also be rich the money always flows through the members like an ocean that never runs dry it dose not matters if you have been scam before contact him for help to join :::: NOTE; that in this Great Brotherhood Of Illuminati No Bloodshed And No Humans Sacrifices is involved [We Don't Kill For Anything] OK... Do not miss this opportunity THANKS.

    ReplyDelete
  6. Salamu kutoka kwa MFANO mkubwa wa ILLUMINATI kwa umoja wa serikali na duniani kote, huu ni fursa ya wazi ya kujiunga na ndugu ya Mwangaza ambapo unaweza kupona ndoto zako zilizopotea, na pia ambapo unaweza kuona mwanga wa utajiri na furaha bila dhabihu yoyote ya damu. Na sisi pia kulipa jumla ya dola 700,000 kuwakaribisha wanachama wapya wote kama wao kujiunga na urafiki na pia nyumba ya uchaguzi wao na eneo na uwekezaji, pamoja na fursa hii katika maisha kwa wao kuwa maarufu.
    MATUMIZI YA KUTAWA KWA WAKAZI WAKATI ambao wanakuja.
    1. Malipo ya fedha ya USD $ 700,000 USD.
    2. Sleek Dream CAR mpya ilifikia dola $ 150,000 USD
    3. Nyumba ya ndoto inunuliwa katika nchi ya uchaguzi wako
    4. Pasipoti ya kidiplomasia kusafiri kwa nchi yoyote ya uchaguzi wako na mengi zaidi
    5. Malipo ya kila mwezi ya $ 1,970,000 katika akaunti yako ya benki kila mwezi kama mwanachama
    KUMBUKA; unaweza kujiunga na udugu wa Illuminati kutoka popote duniani India, Uturuki, Afrika, Marekani, Malaysia, Dubai, Kuwait, Uingereza, Austria, Ujerumani, Ulaya. Asia, Australia, nk,
    KUMBUKA: ikiwa una nia ya kuwasiliana nasi kupitia barua pepe yetu: illuminatitemple91212@gmail.com
    Salamu ILLUMINATI TEMPLE UNITED STATES

    ReplyDelete
  7. Salamu kutoka kwa MFANO mkubwa wa ILLUMINATI kwa umoja wa serikali na duniani kote, huu ni fursa ya wazi ya kujiunga na ndugu ya Mwangaza ambapo unaweza kupona ndoto zako zilizopotea, na pia ambapo unaweza kuona mwanga wa utajiri na furaha na nguvu bila dhabihu yoyote ya damu. Na sisi pia kulipa jumla ya dola 800,000 kuwakaribisha wanachama wapya wote kama wao kujiunga na urafiki na pia nyumba ya uchaguzi wao na eneo na uwekezaji, pamoja na fursa hii katika maisha kwa wao kuwa maarufu.

    MATUMIZI YA KUTAWA KWA WAKAZI WAKATI ambao wanakuja.
    1. Malipo ya fedha ya $ 800,000 USD.
    2. Sleek Dream CAR mpya ilifikia $ 190,000 USD
    3. Nyumba ya ndoto inunuliwa katika nchi ya uchaguzi wako
    4. Malipo ya kila mwezi ya $ 2,400,000 katika akaunti yako ya benki kama mwanachama
    5. Pasipoti ya kidiplomasia kusafiri kwa nchi yoyote ya uchaguzi wako na mengi zaidi
    6. Mwezi wa uteuzi na 5 bora duniani. Viongozi na 5 wa celebrities maarufu zaidi duniani.

    KUMBUKA; unaweza kujiunga na udugu wa Illuminati kutoka popote duniani India, Uturuki, Afrika, Marekani, Malaysia, Dubai, Kuwait, Uingereza, Austria, Ujerumani, Ulaya. Asia, Australia, nk,

    KUMBUKA: ikiwa una nia ya kuwasiliana nasi kupitia barua pepe yetu: illuminatitemple9102@gmail.com

    Salamu ILLUMINATI TEMPLE UNITED STATES

    ReplyDelete
  8. UTAJIRI AU FEDHA ZA NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI MPAKA MASAA 72(SIKU 3) PAPO HAPO KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA

    kwa maelezo kamili piga namba +255742162843

    (KWANINI USUMBUKE,HACHA KUTANGATANGA, NA MAISHA NI MAFUPI PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI (Tumia ufahamu kujinasuaUTAJIRI WA NDAGU(MASHARTI) NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
    (HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
    MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.

    NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

    (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
    1. uwe una umri wa miaka 18+
    2. uwe tayari kupokea masharti yote
    3.uwe na uwezo wa kutunza siri
    4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote
    KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO AMBAYO SIJATAJA INSHAALAH ITATATULIWA IKIWA NDANI YA UWEZO

    ReplyDelete
  9. Ahadi ni ya wale wanaoiandaa leo, Njia ya kupata pesa haraka bila kumuumiza mtu yeyote katika maisha na kuwa bora zaidi kwenye maisha, ni kwa kuungana na agizo la Freemasonry, Wewe, tunapata tamaa zako zote za moyo, Mtu mwenye busara kutatua tatizo, kwanini mtu mwenye busara aepuke, ikiwa una nia, WhatsApp +31687718900 Unaweza kutuma kwa urahisi ujumbe moja kwa moja kupitia Instagram kwa kurasa rasmi, @Freemasonry001 au Email: agentpatrick5@gmail.com Kukaa kila wakati kutoka kwa watu hasi wana shida kwa kila suluhisho.

    ReplyDelete
  10. للانضمام إلى Illuminati أمر سهل ... انضم إلى مجموعة Illuminate عبر الإنترنت اليوم أينما كنت ، واحصل على مبلغ فوري قدره 10،000،000،00 USD [بالدولار] مع منزل حر في أي مكان تختار فيه العيش في العالم والعديد من المزايا الأخرى على النحو التالي. نحن نجعل عملك ينمو بشكل أسرع ويمكِّنك ... الانضمام إلى المتنورين ينقلك إلى دائرة الضوء في العالم الذي تعيش فيه اليوم فصعوباتك المالية تصل إلى نهايات تطول أطفائك ندعمك مالياً وماديًا لضمان لك عيش حياة مريحة في بنطلون مريح يمكنك الانضمام من أي مكان ، أي جزء من العالم [البلد] الذي أنت فيه ... من الولايات المتحدة إلى الجزء الأكثر جزء من الأرض الذي نأتي به كل ما تريد ، لا أن تكون مثقفًا أو أميًا غنيًا أو ضعيفًا أي شخص هو نصيحة للانضمام إذا كنت مهتمًا بالاتصال بنا الآن فكل ما تسعى إليه في الحياة سيأتي إلى الواقع. مراسلتنا عبر البريد الإلكتروني الآن: [illuminatiworld521@gmail.com] ... /...
    أقول وداعا وداعا للفقر بالانضمام إلى المتنورين لم أؤمن أبدا حتى انضم أخيرا ولكن الآن أنا غني .. هذا الرجل الحقيقي هو الذي جعلني ما أنا اليوم وأنا فخور جدا لي بدء عضو المتنورين ... إذا كانوا ، يمكن أن تجعلني أغني تجعلني أصير شيئًا في الحياة لماذا لا تنضم إلينا أيضًا لأنك غني أيضًا ، فالمال يتدفق دائمًا عبر الأعضاء مثل المحيط الذي لا يجف أبداً ، لا يهم إذا كنت قد خدعت قبل الاتصال به للمساعدة في الانضمام :::: ملاحظة؛ أنه في هذا الإخوان العظماء المتنورين لا سفك دماء ولا ضحية إنسانية متورطة [نحن لا نقتل لأي شيء] حسنا ... لا تفوت هذه الفرصة شكرا.

    ReplyDelete
  11. Nahitaji kujiunga

    ReplyDelete
  12. Nahitaji kujiunga

    ReplyDelete